Ufadhili wa Mali

Ufadhili wa Mali 01 Ufadhili wa Mali

01

Ufadhili wa Mali

Iwezeshe biashara yako ya kilimo kwa tija zaidi. Ufadhili wa kupata mashine, vifaa, na rasilimali nyingine za kilimo zinazochochea uzalishaji.

Vipengele

  1. Ununuzi wa mashine na vifaa vya kilimo
  2. Ufadhili wa malipo ya bima
  3. Hakuna gharama zilizofichika
  4. Mchakato wa haraka

Ungependa maelezo zaidi kuhusu ?

Branch Locator Open a Digital Account Contact Us (WhatsApp) Agents Locator