Akaunti ya Akiba ya Maono

Hii ni akaunti ya mpango wa akiba inayolenga wateja wote wanaoweka akiba kwa ajili ya lengo maalum.

Akaunti ya Akiba ya Maono
Business Loan

Akaunti ya Akiba ya Maono

Sifa

  • Hakuna ada ya kuweka fedha.
  • Riba hulipwa kila mwaka (katika tarehe ya kumbukumbu ya ufunguzi wa akaunti).
  • Utoaji wa fedha bila malipo kila robo mwaka.
  • Idadi ndogo ya mara za kutoa fedha kwa mwaka.

Ungependa maelezo zaidi kuhusu Akaunti ya Akiba ya Maono?

Branch Locator Open a Digital Account Contact Us (WhatsApp) Agents Locator