Sifa
- Hutumia kitabu cha hundi
- Gharama ya 33 kwa kila muamala kwa miamala 20 ya kwanza
- Uwezo wa kupata huduma ya overdraft (kutoa fedha zaidi ya salio)
- Kadi ya benki (Debit Card)
- Huduma ya benki kwa simu ya mkononi
- Huduma ya benki kwa mtandao
Akaunti ya kawaida kwa watu binafsi wanaoendesha biashara zisizosajiliwa, ambao wanaweza kuhitaji au kutohitaji kitabu cha hundi.