Sifa za Akaunti Hii
- Furahia faida ya kupata riba huku ukiwa na uhuru wa kutoa fedha zako kulingana na sheria na masharti ya akaunti hiyo
- Investment periods from as little as 7 days
- Rasilimali zinaweza kupatikana wakati wowote bila vikwazo
- Pata riba yenye mvuto huku ukidumisha ulaini wa fedha