Jumamosi tarehe 27 Aprili 2024 Caritas Nairobi ilisherehekea maadhimisho yake ya miaka 40 kwa misa maalum iliyofanyika Parokia ya Mama yetu wa Fatima, Kiriko.