Mkopo wa Maendeleo au Uboreshaji wa Shule

Lengo: Shule zinazohitaji maendeleo, upanuzi, ukarabati au uboreshaji wa muonekano.

Mkopo wa Maendeleo au Uboreshaji wa Shule
Business Loan

Mkopo wa Maendeleo au Uboreshaji wa Shule

Sifa

  • Hadi Shilingi milioni 18
  • Madarasa, mabweni, maabara, jiko na uboreshaji wa eneo la shule
  • Miradi ya upanuzi Ukarabati na marekebisho
  • Uboreshaji kamili wa shule

Manufaa

  • Inasaidia maendeleo makubwa ya shule
  • Inasaidia shule kuboresha miundombinu na uwezo

Ungependa maelezo zaidi kuhusu Mkopo wa Maendeleo au Uboreshaji wa Shule?

Branch Locator Open a Digital Account Contact Us (WhatsApp) Agents Locator